Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
- Thread starter
- #81
Now madogo muda wote ni ngono.Kitambo jief kulikuwa na akina Malila,
Kila post ni nondo hakuna umbugila,
Mambo yamegeuka kama mzee kigaila,
Majukwaa ni mikorogo kama ya Dula makabila,
Ukiwaasa wanakwambia tuliza mshono.
Hakina Gen Z hawaelewi somo.
Uzinifu kwa nguvu wanaupigia promo.