ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Hii umeua🔥Siku zote mwehu hawezi kuwa jiniazi.
Kiufupi we ni kiazi.
Kwanza vaa vizuri hiyo blauzi.
Then punguza mashauzi.
Msikilize kwa makini Mjomba Malume.
Anaongea yeye kama mwanaume.
Anasema punguza upaka shume.
Embu njoo kwanza nikutume.