Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Kumbuka mi ni Ayatollah kunipangia haifai,Mauaji?? Mbona ni jinai
Tena usifanye Kwa kujidai
Maana tutakudai
Roho yako ukiwa hai
Maana every soul will die
Oh my God! Ahimidiwe Uloto,Kwenye mistari mi ni moto
Nawakalisha watoto
Hawanipi changamoto
Ninawapa misoto
Mpaka wanakosa uroto
Grammy apewe Mrisho MpotoOh my God! Ahimidiwe Uloto,
Viatu avishwe Mrisho Mpoto,
kadi nyekundu apewe fei Toto,
Mike apokonywe Wilberforce Ngoto,
tusiige lafudhi ya George Marato.
Kama huna mwana elekea kokoto! 😎.
Hakika umesema ukweliVijana fanyeni Kazi
View attachment 3621739
Usiwe kama kiazi
Msipotezwe na maManzi
Msiwe na Wenge kama panzi
Fanyeni maendeleo ya kasi
Penye shida pita kama risasi
Mwache bifu msilipize visasi
Mkuu mimi nataka kujuaOya nabandika logo
Kuwatambulisha mafogo
Wanaosimama na vigogo
Ukileta zogo
Nakupasua kama gogo
Dah! Hio line ya 3 😂Mkali hizi ishu nimekuja kwa bajaji,
Kabla ya kuja nilipiga kwanza maji,
wife alinipea kei na kunifanyia masaji,
sasa kaeni tayari kwa ya kikatili mauaji.
Bakari Mwamnyeto,Grammy apewe Mrisho Mpoto
Pesa iwekwe kushoto
Nyevu iitwe ndoto
Mimi nitengwe na watoto
Bakari MwamnyetoBakari Mwamnyeto,
kweli anapiga nyeto?
kisa kuokoa mapato?
Au anakwepa msoto.
Mamba wa JF gani unaishi kwenye dimbwi la sifa?Huwezi kuspend bila vumba !
Kama Teja stend , mwanangu unayumba!
Iwe kwa Tsh ama rand, nawachanisha misamba!
Me ndio mamba ndani ya jf !
Nasukuma puli kwa vinabo kina mmkangafu!
Wananiita mwehu ila akili zao chafu !
Nawapiga denda wanadai nacheza rafu!
Ndege tai gani usieruka umbali wa futi mbili juu ya kiwanda cha tofali?Kumbuka mi ni Ayatollah kunipangia haifai,
huwa nafananishwa na ndege tai,
yaani naua yeyote yula na najidai,
Damu ya mfu ninainywa kama chai,
Asiyesikiliza yangu rai,
nampasua kama yai.
Eti Real ones move in silence ,asa mbona wewe unapiga kelele kama kasuku?Mitandaoni mnawaka moto, lakini offline mnazima
Big words kwa keyboard, real talk mnabima
You type like a king, lakini actions ni zero
Online superhero, offline hujui hata “hello”
Comment section warrior, kila post ni debate
But in real conversations, unakaa late or una-skip gate
Typing “facts” kila saa, lakini hakuna proof
Your whole identity built on WiFi roof
Mnajifanya deep thinkers, lakini ni shallow streams
Reality check ikifika, mnaanza kusema “it seems…”
Screens zinawafanya brave, lakini siyo kweli ni mask
Uki-remove data bundle, unashindwa even basic task
Talk less, show more—hiyo ndo real equation
Not every opinion deserves online rotation
Ukishuka ground level, utaona tofauti ni clear
Real ones move in silence, fake ones disappear