Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Aisee! Mangi mbona unajua kuchana?Unajiamini sana kwa mtu ambaye Google ikikusearch inasema 'Did you mean someone else?
Unabishana kama una ushahidi, kumbe una confidence tu.
Uko online kila siku, lakini maendeleo yako bado yapo offline.
Una ego ya CEO, lakini matokeo ni ya intern.
Unapenda kutoa ushauri kuliko kuufuata.
Kila ukifungua mdomo, confidence inapanda lakini IQ inashuka.
Una makelele ya simba, lakini matokeo ya paka.
Wewe ni proof kwamba kelele si sawa na uwezo.
Bro, ulijenga story yote ukidhani wanichana , kumbe ni autobiography .Aisee! Mangi mbona unajua kuchana?
hiyo ni hali ya kawaida au huja ukilewa sana?
Halafu nasikia usipolewa jukwaani hupendi onekana,
kwa mfano jana hela ya kulewea ulikuwa huna,
Ndiyo maana humu ndani hata hatujakuona,
hebu nakuomba acha hizo mambo bhana!
ukikosa hela piga mbege au hata banana!
Hebu ngoja nikupe sababu kijana,Humu mbona kila mtu anajua kuchana
Au mnarithishana
Inashangaza sana
Kuona watu walio sehemu moja wanavipaji vya kufanana
Bwashee sikiliza tu nikuambie kinachonisumbua,Bro, ulijenga story yote ukidhani wanichana , kumbe ni autobiography yangu.
Unajua ratiba yangu kuliko calendar yangu.
Wakati unahesabu pombe ninazokunywa, mimi nahesabu sababu zinazokufanya uamke ukinifikiria.
Alaah kumbeHebu ngoja nikupe sababu kijana,
mwaka jana nilitoa kozi ya kuchana,
hivyo wote unaoona wanachana,
basi ndo wale nilowafunfisha kuchana,
Tena ukiona mtu hajui kuchana,
tambua hakufundishwa nami mwaka jana π.
Yeah, ngoja si tutambe,Alaah kumbe
Basi umefika ujumbe
Aisee nawafanyia wema wewe na wenzakoYeah, ngoja si tutambe,
wewe uliomba wembe,
sisi tumekupa jembe,
umeponzwa na uzembe.
Yes,Aisee nawafanyia wema wewe na wenzako
Halafu unaniletea dharau zako
Kweli wema kumanyoko
Ni bora utulie zako
Hata hawana sokoYes,
tenda wema nenda zako,
alifukuzwa kocha simkoko,
Hata yule Hemedi Moroko,
baada ya kufanikisha mambo huko,
kwa sasa sijui kama wana soko.
Tuombe mungu wasiwe machoko,Hata hawana soko
Wanakula tu ukoko
Kama wangindo na wamatumbi wa Kilwa Masoko
Hawana hata nguo za mtoko
Respect kwa kukubali. Watu wengi huvaa mask, wewe umevua mwenyewe.Bwashee sikiliza tu nikuambie kinachonisumbua,
Nina tabia ya kimatumbi yaani ya watu nayafikiria,
Kila nikijaribu kuiacha hii tabia nashindwa nairudia,
mambo yangu nimeyasahau ya watu vyema nayatambua,
hivyo naomba unisamehe, itafaa zaidi ukiniombea,
Kila nikiona mtu anafanikiwa tumbo la kuhara linanivamia.
Ushauri wako nimeushika,Respect kwa kukubali. Watu wengi huvaa mask, wewe umevua mwenyewe.
Ila kumbuka, huwezi kushinda race ukiwa busy kuhesabu hatua za mkimbiaji mwingine.
Aaaaaah umekimbia mapema bwashee πUshauri wako nimeushika,
Kwa kweli sasa nitaamka,
Lakini pia pesa nitazisaka,
ngoja ninywe mbege kwa kweka.
Huwa sipendi kushindana nawe π .Aaaaaah umekimbia mapema bwashee π
Kwa nini mkuuHuwa sipendi kushindana nawe π .
Busara zako π₯.Kwa nini mkuu
Sina busara mkuu, haupishanagi na matusi humu au unanichora bwashee πBusara zako π₯.
Yale uyaporomoshayo wala siyachukulii kama matusi.Sina busara mkuu, haupishanagi na matusi humu au unanichora bwashee π