Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi;
1. I'm a thug ya Trick Daddy
2. I can ya Nas
3. Fabulous ya Jaheim
4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina.
Tafadhali tupieni nyingine..........
4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina.
Story P SQUAREWadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi;
1. I'm a thug ya Trick Daddy
2. I can ya Nas
3. Fabulous ya Jaheim
4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina.
Tafadhali tupieni nyingine..........
Usisahau Anything ya Jay z..Toy soldier Ya Eminem,Na We Dont Care ya Kanye westHard Knock Life - Jay -Z
Ghetto Child - Joe Thomas
Oskido's Candy Tsa Mandebele kidsNyimbo ya kisauz kuna mdada dizain tomboy anawaimbisha watoto weeeeeeng kuna kipande wanasema pwiti pwili pwiti jina la wimbo silijui
Japo sijui inahusu nin lkn naipenda mno
The world greatest,storm is over,Gotham city zote za r kellyWadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi;
1. I'm a thug ya Trick Daddy
2. I can ya Nas
3. Fabulous ya Jaheim
4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina.
Tafadhali tupieni nyingine..........
Ahsante sana!The world greatest,storm is over,Gotham city zote za r kelly
Poa kiongoziHard Knock Life Jay z
Ahsante mkuuStory -p square
Pamoja kiongoziDimitri Vegas & Like Mike ft Wiz Khalifa - when I grow up
Lil Durk ft J Cole - all ma life