Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Oooh safi. Km upi ,tunaweza kukuunga mkononimehamia kwany ujasiliamali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh safi. Km upi ,tunaweza kukuunga mkononimehamia kwany ujasiliamali
sawa bossFanya hivyo Boss wangu
yaani u houseboy namaanisha mkuu hata kusindikiza tu watoto wa bosi shuleKazi za ndani zipi mkuu funguka watu wakupige tafu
nipo dsm kazi pia iwe dsmUpo mkoa gani na unapenda kufanya kazi mkoa gani
Kweli wewe ni mwana habarindugu zangu, kutokana na changamoto ya ajira inayotukumba, watu tumesoma lakini ajira zinakuwa ngumu kupatikana, kikubwa tujifunze kutokuchagua kazi, waswahili wenyewe wanasema ni bora kidogo cha halali kuliko kukosa kabisa ama ukapata kikubwa cha halamu ambacho kinaweza kukutia mashakani. vile vile "ukitaka kupata kitu ambacho hujawahi kukimiliki ni lazima uthubutu kufanya kitu ambacho hujawahi kufanya"
niliangahika sana kutafuta ajira, japo ni holder wa diploma ya uandishi wa habari, lakini nilijikuta ndoto zangu za kufanya kazi kwenye vyombo vya habari zinafifia kwani kila nilipo bahatika kupata kazi kwenye kampuni za habari, mishahala ilikuwa haikidhi vigezo haswa ukizingatia kupanda kwa gharama za maisha.
niliamua rasmi kuachana na taaluma niliyosomea baada ya kuona malengo yangu yanazidi kufifia. naomba niwape moyo ndugu zangu mnaotafuta ajira, msikate tamaa. weka mipango kichwani huku ukitafuta mbinu mbadala za kujikwamua.
safari yangu ya maisha ilivyoanza
View attachment 1742667
baada ya kuhangaika sana bila mafanikio kutafuta ajira inayoendana na elimu siku moja nikiwa huko Arusha, nilienda kuomba kazi kwenye godauni moja la bia, lililopo pale ngusero...kalibu na FFU. kwenye hilo godauni kulikuwa na mlinzi wa kampuni ya KK. ambayo hivi sasa inatwa garda yule mlinzi aliniambia "pale hakuna kazi" ila kama nitapendezwa na kazi ya ulinzi basi nipeleke vyeti vyangu vikafanyiwe uhakiki kwenye kampuni yao ya ulinzi ya garda, iliyopo huko kijenge karibu na Impala hotel ARUSHA.
kweli nilibahatika kwenda na walipo kagua vyeti vyangu viliwarizisha hivyo safari yangu ya ulinzi, ilianzia hapo, nilifanya mafunzo yao ya takribani siku 14, wakatutunuku vyeti kwenye mafunzo hayo tulikuwa walinzi zaidi ya 60 wenye elimu kubwa zaidi ya yangu. lakini wote tuliweka elimu zetu kando, tukaamua kuwa wafungua mageti ama wabeba virungu.
View attachment 1742669
kipindi naanza kazi hii ya ulinzi nilikuwa nalipwa 250k kwa mwezi lakini kuna miezi mingine ilikuwa inafikia hadi 280k...kiujumla kamshahala hako kalikuwa hakaitoshi kabisa, lakini nilivumilia nikajipanga na bahati ilikuwa yangu kwani kwenye hii kampuni huwa kuna promosheni ya kwenda kusoma kozi zinazoendana na mahitaji ya ofisi, kila ukienda kozi na kimshahala nacho kidogo kinatuna. kidogo hivi sasa kimshahala kimetuna na mimi natembea na pochi kubwa mfukoni.
View attachment 1742670
hivyo ndugu zangu, tusiogope kufanya kazi kwakuwa ndugu zetu watatucheka, kuna walinzi wana mishahala mikubwa kama watu wa serikali na pengine mikubwa zaidi ya watu wa serikalini. hivyo karibuni kwenye sekta ya ulinzi, japo bado napambana kuhakikisha ndoto zangu za kuendeleza taaluma niliyosomea lakini napambana huku nikiwa kwenye kazi ambayo kwa kiasi fulani inaniletea heshima mtaani ata pakitokea tatizo ninaweza nikatoa mchango japo kidogo.
View attachment 1742671
hivyo nimeona niwaletee hii fursa kwa watanzania ambao hamchagui kazi karibuni sana Gardaworld.
jinsi ya kujiunga na GARDAWORLD
1. uwe Mtanzania ambae utanzania wako hauna shaka kabisa
2. uwe na vyeti halisi vya shule {tumia cheti cha elimu ndogo kabisa isiwe juu ya kidato cha nne.... utakuja kunishukuru hapo baadae kwa mbinu hii}
3. uwe na cheti cha kuzaliwa
4. uwe mrefu haswa.
5. uwe na namba ya nida ama kitambulisho cha nida pia ukiongeza kitambulisho cha mpiga kura itakuwa poua
6.uwe na wadhamini wawili ambao watakuwa teyari kufika ofisini kwaajili ya kujaza fomu maalum za kukudhaminiView attachment 1742673
kama unavyo vigezo tajwa hapo juu, na upo Dar es salaam panda dala dala zinazoelekea Kawe haswa zinazopitia ubarozi wa marekani {moroco} kisha utashuka kituo cha KWA MWINYI {ukiwa mitaa hiyo unatakiwa kuwa makini muda wote ujiepushe na kushangaa shangaa haswa nyumba za karibu na ofisi ya Garda kwani ofisi hiyo ipo karibu na nyumbani kwa Rais mstaafu AL-HASSANI MWINYI na maeneo hayo yana ulinzi mkali}
View attachment 1742674
baada ya kufika kwenye ofisi za garda wakakufanyia vipimo na usaili wa awali utapewa maelekezo ya hatua inayofuata. hakuna rushwa katika kupata kazi hii, wala mimi mtoa post sina uwezo wa kukusaidia kuruka kigezo chochote ili uweze kupata kazi hii, kitakachokubeba kwenye kazi hii ni vigezo tu. ukiwa na vigezo stahiki utapata kazi. ukiwa huna kigezo mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako katika makampuni mengine yanayoendana na vigezo ulivyo navyo.
hivyo nafungua rasmi mianya kwa watanzania wenye mapenzi ya dhati kwa wenzao kutoa fursa mbali mbali za ajira kwa kutuandikia hapo chini juu ya ajira iliyo karibu na wewe lengo ni kukwamuana, nina uhakika hii itakuwa sadaka kubwa kuliko kusaidiana fedha. na wale ambao tutabahatika kupata kazi kupitia uzi huu turudi kutoa ushuhuda ili wengine wapate pakuanzia.
View attachment 1742676
MUNGU IBARIKI JAMIIFORUMS,
MUNGU WABARIKI WANA JAMIIFORUMS
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI AFRIKA
Safi sana,haya ndo mambo washindwe wenyewendugu zangu, kutokana na changamoto ya ajira inayotukumba, watu tumesoma lakini ajira zinakuwa ngumu kupatikana, kikubwa tujifunze kutokuchagua kazi, waswahili wenyewe wanasema ni bora kidogo cha halali kuliko kukosa kabisa ama ukapata kikubwa cha halamu ambacho kinaweza kukutia mashakani. vile vile "ukitaka kupata kitu ambacho hujawahi kukimiliki ni lazima uthubutu kufanya kitu ambacho hujawahi kufanya"
niliangahika sana kutafuta ajira, japo ni holder wa diploma ya uandishi wa habari, lakini nilijikuta ndoto zangu za kufanya kazi kwenye vyombo vya habari zinafifia kwani kila nilipo bahatika kupata kazi kwenye kampuni za habari, mishahala ilikuwa haikidhi vigezo haswa ukizingatia kupanda kwa gharama za maisha.
niliamua rasmi kuachana na taaluma niliyosomea baada ya kuona malengo yangu yanazidi kufifia. naomba niwape moyo ndugu zangu mnaotafuta ajira, msikate tamaa. weka mipango kichwani huku ukitafuta mbinu mbadala za kujikwamua.
safari yangu ya maisha ilivyoanza
View attachment 1742667
baada ya kuhangaika sana bila mafanikio kutafuta ajira inayoendana na elimu siku moja nikiwa huko Arusha, nilienda kuomba kazi kwenye godauni moja la bia, lililopo pale ngusero...kalibu na FFU. kwenye hilo godauni kulikuwa na mlinzi wa kampuni ya KK. ambayo hivi sasa inatwa garda yule mlinzi aliniambia "pale hakuna kazi" ila kama nitapendezwa na kazi ya ulinzi basi nipeleke vyeti vyangu vikafanyiwe uhakiki kwenye kampuni yao ya ulinzi ya garda, iliyopo huko kijenge karibu na Impala hotel ARUSHA.
kweli nilibahatika kwenda na walipo kagua vyeti vyangu viliwarizisha hivyo safari yangu ya ulinzi, ilianzia hapo, nilifanya mafunzo yao ya takribani siku 14, wakatutunuku vyeti kwenye mafunzo hayo tulikuwa walinzi zaidi ya 60 wenye elimu kubwa zaidi ya yangu. lakini wote tuliweka elimu zetu kando, tukaamua kuwa wafungua mageti ama wabeba virungu.
View attachment 1742669
kipindi naanza kazi hii ya ulinzi nilikuwa nalipwa 250k kwa mwezi lakini kuna miezi mingine ilikuwa inafikia hadi 280k...kiujumla kamshahala hako kalikuwa hakaitoshi kabisa, lakini nilivumilia nikajipanga na bahati ilikuwa yangu kwani kwenye hii kampuni huwa kuna promosheni ya kwenda kusoma kozi zinazoendana na mahitaji ya ofisi, kila ukienda kozi na kimshahala nacho kidogo kinatuna. kidogo hivi sasa kimshahala kimetuna na mimi natembea na pochi kubwa mfukoni.
View attachment 1742670
hivyo ndugu zangu, tusiogope kufanya kazi kwakuwa ndugu zetu watatucheka, kuna walinzi wana mishahala mikubwa kama watu wa serikali na pengine mikubwa zaidi ya watu wa serikalini. hivyo karibuni kwenye sekta ya ulinzi, japo bado napambana kuhakikisha ndoto zangu za kuendeleza taaluma niliyosomea lakini napambana huku nikiwa kwenye kazi ambayo kwa kiasi fulani inaniletea heshima mtaani ata pakitokea tatizo ninaweza nikatoa mchango japo kidogo.
View attachment 1742671
hivyo nimeona niwaletee hii fursa kwa watanzania ambao hamchagui kazi karibuni sana Gardaworld.
jinsi ya kujiunga na GARDAWORLD
1. uwe Mtanzania ambae utanzania wako hauna shaka kabisa
2. uwe na vyeti halisi vya shule {tumia cheti cha elimu ndogo kabisa isiwe juu ya kidato cha nne.... utakuja kunishukuru hapo baadae kwa mbinu hii}
3. uwe na cheti cha kuzaliwa
4. uwe mrefu haswa.
5. uwe na namba ya nida ama kitambulisho cha nida pia ukiongeza kitambulisho cha mpiga kura itakuwa poua
6.uwe na wadhamini wawili ambao watakuwa teyari kufika ofisini kwaajili ya kujaza fomu maalum za kukudhaminiView attachment 1742673
kama unavyo vigezo tajwa hapo juu, na upo Dar es salaam panda dala dala zinazoelekea Kawe haswa zinazopitia ubarozi wa marekani {moroco} kisha utashuka kituo cha KWA MWINYI {ukiwa mitaa hiyo unatakiwa kuwa makini muda wote ujiepushe na kushangaa shangaa haswa nyumba za karibu na ofisi ya Garda kwani ofisi hiyo ipo karibu na nyumbani kwa Rais mstaafu AL-HASSANI MWINYI na maeneo hayo yana ulinzi mkali}
View attachment 1742674
baada ya kufika kwenye ofisi za garda wakakufanyia vipimo na usaili wa awali utapewa maelekezo ya hatua inayofuata. hakuna rushwa katika kupata kazi hii, wala mimi mtoa post sina uwezo wa kukusaidia kuruka kigezo chochote ili uweze kupata kazi hii, kitakachokubeba kwenye kazi hii ni vigezo tu. ukiwa na vigezo stahiki utapata kazi. ukiwa huna kigezo mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako katika makampuni mengine yanayoendana na vigezo ulivyo navyo.
hivyo nafungua rasmi mianya kwa watanzania wenye mapenzi ya dhati kwa wenzao kutoa fursa mbali mbali za ajira kwa kutuandikia hapo chini juu ya ajira iliyo karibu na wewe lengo ni kukwamuana, nina uhakika hii itakuwa sadaka kubwa kuliko kusaidiana fedha. na wale ambao tutabahatika kupata kazi kupitia uzi huu turudi kutoa ushuhuda ili wengine wapate pakuanzia.
View attachment 1742676
MUNGU IBARIKI JAMIIFORUMS,
MUNGU WABARIKI WANA JAMIIFORUMS
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI AFRIKA
nitashukuru sana kamanda...nisaidieKweli wewe ni mwana habari
Kwa jinsi tu ulivyoandika hapa
Itabdi nikupe connection ya TBC
soma post namba 31 hapo juu ikikupendeza karibu sanaNatufa kazi yoyote yenye kipato halali wakuu, niko dar View attachment 1743039
yap unajua wengi huwa wanakwama mahala pa kuanzia tu...na mbaya zaidi mtu muda mwingine anakosa ata wa kumshika mkono.Safi sana,haya ndo mambo washindwe wenyewe
Umesomea nini dada..!Ajira bado ni kizungumkuta kwa Tz ya leo,mimi mpk nimeshakata tamaa kabisa.