mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Na wewe piaHongereni[emoji1547]
Na wewe piaHongereni[emoji1547]
Chukua hizo post zetu 200,0000 ugawe kwa mwezi na siku 10 (muda tuliotumia kufikisha hizo post) utapata wastani kwa siku tunatuma msg ngapi humu,Tathmini:
Kwa muda wa mwezi mmoja na siku 10(16th June - 26th July), uzi una post 200k.
Kwa kasi hii tunaweza kuchukua muda gani kuwafunika Makapuku ambao wanatuzidi 45k replies tu hadi sasa?
Juhudi yako ndio mafanikio ya huu uzi pendwa
Habari mkuuKumekucha
Habari za asbh mkuuMjinga akielevuka mwerevu yupo mashakani.
Acha kazi ndio utajua ugumu wa kupata kaziUgumu wa kazi ndio kipimo cha akili
Hahahha one week onlyTathmini:
Kwa muda wa mwezi mmoja na siku 10(16th June - 26th July), uzi una post 200k.
Kwa kasi hii tunaweza kuchukua muda gani kuwafunika Makapuku ambao wanatuzidi 45k replies tu hadi sasa?
Juhudi yako ndio mafanikio ya huu uzi pendwa
UpendoLove
AmaniPeace
Good analysis nafikiri muda wa Siku kumi zijazo tutakuwa Na 250kChukua hizo post zetu 200,0000 ugawe kwa mwezi na siku 10 (muda tuliotumia kufikisha hizo post) utapata wastani kwa siku tunatuma msg ngapi humu,
200,000÷40 = 5,000 Ili kuzipata hizo post 45,000 wanazotuzidi makapuku tunahitaji siku 9 tu coz kwa siku tunatuma post 5k humu,
Kama hao makapuku hawatotuma post yeyote basi siku 9 zinatosha kuwafikia.Ila kwa speed hii makapuku tutawaachia vumbi nyuma tu na wataisoma namba!! Ahahahaaa!
Good evaluation and recommendation.Chukua hizo post zetu 200,0000 ugawe kwa mwezi na siku 10 (muda tuliotumia kufikisha hizo post) utapata wastani kwa siku tunatuma msg ngapi humu,
200,000÷40 = 5,000 Ili kuzipata hizo post 45,000 wanazotuzidi makapuku tunahitaji siku 9 tu coz kwa siku tunatuma post 5k humu,
Kama hao makapuku hawatotuma post yeyote basi siku 9 zinatosha kuwafikia.Ila kwa speed hii makapuku tutawaachia vumbi nyuma tu na wataisoma namba!! Ahahahaaa!
Kweli kabisa anapiga balaa akiingia kwenye zizi unaweza kukuta ng'ombe wote chaliKoboko "black mamba" ana sumu inayoweza kuua Ng'ombe 100