The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hapana, lengo sio kushindana.Hiyo evaluation ni roughly tu sio accurate,kumbe mnashindana na makapuku? Nilikua sijui aisee!!😀😀
Poa Mkuu umeeleweka.Hapana, lengo sio kushindana.
Hapa najaribu kulinganisha hizi nyuzi ambazo zinaonekana kuwa na wachangiaji, kurasa na likes nyingi zikipambwa na sifa ya kugawa like bila kujali ulichopost.
Kabla ya huu uzi kuundwa, hata wewe utakuwa shahidi. Ukienda makapuku ukapost hata emoji utaona unapata like nyingi sana.