444
5554444
66655555
Bwihi [emoji16] [emoji16]Lestorofio Gone misto Ghazwat.
Hahaha
Kwema kabisa. Vipi mkuuBwihi [emoji16] [emoji16]
Mkuu wewe ni noma..je kwema?
Tupo jema kiafya mkuu.. endelea kukita kambi hapa KijijiniKwema kabisa. Vipi mkuu
Sichomoki mkuu, nikitoka ni kupumzika tuuTupo jema kiafya mkuu.. endelea kukita kambi hapa Kijijini
Ha ha ha.Ukipumzika, tembelea majukwaa mengine huko upate dodoso za pande zote za duniaSichomoki mkuu, nikitoka ni kupumzika tuu
HahahaChukua hizo post zetu 200,0000 ugawe kwa mwezi na siku 10 (muda tuliotumia kufikisha hizo post) utapata wastani kwa siku tunatuma msg ngapi humu,
200,000÷40 = 5,000 Ili kuzipata hizo post 45,000 wanazotuzidi makapuku tunahitaji siku 9 tu coz kwa siku tunatuma post 5k humu,
Kama hao makapuku hawatotuma post yeyote basi siku 9 zinatosha kuwafikia.Ila kwa speed hii makapuku tutawaachia vumbi nyuma tu na wataisoma namba!! Ahahahaaa!
Haya amka
Siyo mchezoKoboko "black mamba" ana sumu inayoweza kuua Ng'ombe 100
Nzuri mzee wa liver,kumekucha?Habari mkuu