[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa na bado naenda fungua uzi hukooooooMtoto umejaa maneno matabu. Ulikaa siku nzima unayaandika nini.
Ndio.. Nimekuambia hiyo Maktaba yako ya picha iko wapi? Ukiendelea kutoa tu nakupa dozi nyingine [emoji16] [emoji16] [emoji16]Aiseee
Nzuri kabisa mpendwa,za wewe?Habari za asubuhi wapendwa
Njema kabisaNzuri kabisa mpendwa,za wewe?
MmhNumbisa bye mama wa ubuyu
Hope itakua hivyoHaendi popote huyo. We humjui KK?
Safi kabisa.Nimeshapona mpenzi
Aisee.. Noma sana