Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Siamini kama Madrid kafa 4-1
Siamini kama Madrid kafa 4-1
Ha ha. Hivi ilikuwa Itigi - ManyoniAisee yule hatari dereva Wa Super Mamuu
Itigi - DodomaHa ha. Hivi ilikuwa Itigi - Manyoni
Afya kwa wote TarimeGood morning Tarime
Afya kwa wote SerengetiGood morning Serengeti
Mzee wa liver.. Salamu zetu tuangalie namna ya kuanza Mkoa mmoja kwa siku yaani mfano Mkoa wa Dodoma, Wilaya , Kata , Tarafa, Kijiji, Kitongoji, Barabara, MtaaItigi - Dodoma
Sasa mkuu nimekupataMzee wa liver.. Salamu zetu tuangalie namna ya kuanza Mkoa mmoja kwa siku yaani mfano Mkoa wa Dodoma, Wilaya , Kata , Tarafa, Kijiji, Kitongoji, Barabara, Mtaa
Je inawezekana?
Mtandao si tunao bhana.. Tutafumua mkoa mzima hii naona inawezekana sana!Sasa mkuu nimekupata
Yupi?Hahahahaha huyu mtu ni shida sana
Salama kabisa za kupotea