Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sasa adai kura zake alizopata zaidi ya milioni sita zimeongezeka maradufu baada ya kubinywa kwa demokrasia
Teh teh teh hizo ndizo siasa zetu leo wasema hili bila kukumbuka jana ulisema niniTakwimu za Tandabui hizo
Hahahaha[emoji16] [emoji16] bwihi
Nimeachwa hoi ile Speed ya yule mama kwenye baiskeli
GameThrone