Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CUF Maalim Seif badala ya kupiga domo kwenye majukwaa inafaa waiombe mahakama imzuie Professa maji marefu asijihusishe na shughuli za kuendesha chama hadi suala la uanachama na uenyekiti wake zimetolewa maamuzi na mahakama na kuzuia maamuzi yake ya kuwatengua wabunge nane na madiwani wawili zisitishwe hadi shauri tajwa litakapopatiwa ufumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…