Hahaha kizazi cha mabroilerDarasa la kwanza wanafika kileleni? Kwa kizazi hiki cha mabroiler pengine inawezekana aisee...
Hahahaa! Haya ila umekwepa swali.Make your spouse pregnant follow the process wait for the results
Sasa unasema I'm alive ndio nilishangaaHapana
Usishangae bossSasa unasema I'm alive ndio nilishangaa
Kula Like kwa kushangaaSasa unasema I'm alive ndio nilishangaa
Unapota kunipeleka sio lakini ukitaka haya twende kwenye Uzi usika hapa ni likes kula likes za kichwa mpka upate uelewaClose your bowl sikukulazimisha unijibu....upofu ni wako na uzuzu ni wako...bull shit mnaosupport hayo masanamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya wahenga hayabadiliki,mfano hiyo dawa ya moto ni moto siku hizi wana sema dawa ya kiburi jeuri,Wahenga siku hizi wanapingwa sana kwa sababu dunia imebadilika. Leo si ajabu ukaambiwa dawa ya moto ni fire retardants [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]