Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maneno ya wahenga hayabadiliki,mfano hiyo dawa ya moto ni moto siku hizi wana sema dawa ya kiburi jeuri,

Tatizo haya maneno ya wahenga mnayatafsiri moja kwa moja, mfano ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji,haimaanishi kunyolewa nywele za kichwani.
Sasa unaposema akili ni nywele kila mtu ana zake hao ni wahenga lakini walitakiwa kusema nywele za wapi
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom