Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
B752
Hawakumaanisha hizi nywele tuzijuazo direct huo ni msemo tu,yaani kila mtu ana akili zake na ujuzi wake na uwezo wake hatufanani.Sasa unaposema akili ni nywele kila mtu ana zake hao ni wahenga lakini walitakiwa kusema nywele za wapi
Hahahahaha
....Yenye afya na furaha.Mwenye Enzi Mkuu akupe maisha marefu
Wacha niwe mwanasiasa
Discipline