Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
CONCRETE
JUNGLE
JUNGLE
Walahi!Point
Nini kumetokea hapa kwenye uzi vyenye sikuwepo around area hii.Uliza swali
YupBob Marley
Nini kimetokea-vingi sana vimetokea kwakweliNini kumetokea hapa kwenye uzi vyenye sikuwepo around area hii.
Kuna kapo sasa hivi?
Wenye wamepatwa na huzuni ya kapo kufa pole yao, Hizi mpya hongera (wadumishe) zenye zinafufuka wabadili aina ya ujenziNini kimetokea-vingi sana vimetokea kwakweli
Kuna kapo sasa hivi-zipo nyingi sana zingine zimekufa kabisa,zingine zinakufa na kufufuka
Good night my dearest!Point