Wadau watakua wamechoka sana leo,hope kesho patachangamkaHope tutrudi kama zaman
Yaan kukuacha ww ni kama kujiacha mwenyewe yaani Nita kung'ang'ania kama rubaNa wewe unataka kuaga?mbona asante ni nyingi?
Ulipotea mkuu KaribuNgoja na mie nichamgamke sasa