Tafadhali naomba urudi kulala[emoji23][emoji23][emoji23]maana ushaanza mambo yako[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] walisemaa,dalili ya mvua ni mawinguu,niliyempenda kanitoroka[emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Kuwa na mpango wa kandoNani tena asichocholewe?kwanza nini maana ya"kuchochoa"?
Weeee...weeeeeee...[emoji385] [emoji384] hata nikienda hospital, wakisema tu nitoe hela za vipimo,sihangaiki,najirudia nyumbaniiii,hela yangu siyo ya kufanyia mambo yasiyo na faida[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole sana,kuzurura ndio kunanifanya nitamani hela zako za pension[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]