Ok nawe upostWakuu kwa dakika nyingine 20 hivi namwaga likes za kufa mtu, hivyo wahi bila kukosa. Kisha baadaye nafasi ikiruhusu mtafanya yenu. Weka likes pata likes.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sichuniki kizembe,doctor alinisingizia malaria,ile ananikabidhi dawa za sh.9,000[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nikamwambia ninazo(jibapa),nilivyo fika home nililigaragaza hadi wadudu wa malaria walishangilia.Sasa hivi mimi na wadudu wa malaria ni marafiki kichizi...nilipo wapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuitumia kwangu ni faida[emoji23][emoji23][emoji23]unawekeza[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tangu jana mbona!!Nikubali kwanza[emoji85] [emoji85]
Hahahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sichuniki kizembe,doctor alinisingizia malaria,ile ananikabidhi dawa za sh.9,000[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nikamwambia ninazo(jibapa),nilivyo fika home nililigaragaza hadi wadudu wa malaria walishangilia.Sasa hivi mimi na wadudu wa malaria ni marafiki kichizi...nilipo wapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]