Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-27-23-17-42.png
 
Shemeji umenilazimisha nije leo huku ili nikanushe swali lako.Nasema hatuhitaji masanamu yenu hayo,kwanza yote membamba utadhani yananyimwa chakula.Sisi nguo zetu tunanunulia kwenye magurio kiwira,ushirika,mwakaleli,n.k. Tusitafutane tena shemeji.Narudi kulala
Tuko pamoja. Ndiyo maana hata mimi nikauliza: Tukuyu kuna Mall? Swali ambalo hujalijibu. Lala salama shemeji na msalimie sana dada!
 
Back
Top Bottom