AhsanteAya malizia jibapa baby ukalale[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole iwaendee man u
Ni utani tu mkuu wangu...nilitaka nikuchekeshe ili ulale na furaha kidogo.Hahahahahah lol! unajua umenifanya nicheke Mkuu lol! Kisa cha kukutukana? Umenikumbusha ubabe wa kuambia chagua tusi chagua tusi lol!
Tuko pamoja. Ndiyo maana hata mimi nikauliza: Tukuyu kuna Mall? Swali ambalo hujalijibu. Lala salama shemeji na msalimie sana dada!Shemeji umenilazimisha nije leo huku ili nikanushe swali lako.Nasema hatuhitaji masanamu yenu hayo,kwanza yote membamba utadhani yananyimwa chakula.Sisi nguo zetu tunanunulia kwenye magurio kiwira,ushirika,mwakaleli,n.k. Tusitafutane tena shemeji.Narudi kulala