Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1901.JPG
 
IMG_2757.JPG
Mh! Humwambii lolote kama mwanadamu mwenzio hata akiwa mtu wako wa karibu kwamba ufanyavyo sivyo.
Kumwelewesha mtu mzima jambo ni EMOTIONAL DRAINAGE
Walahi
Yaani atajijua kwa kweli
Mtu kuelewa jambo ni inside out siyo outside in!
Ndiyo maana mapambano na mitusi inapo anza ukijaribu kumwelewesha mtu ambaye kichwa chake Kimejaa maugomvi!
Na ugomvi ni tabia!
Maisha ya mtu mgomvi hawezi kukaa kwenye ustaarabu hata siku mmoja!
Believe me on that one!
Huu uzi ni bahari hauweki uchafu
UTATEMA TU!
 
Mh! Congratulations keep up with the positive attitude to stay away from other people's stuff.

View attachment 552238
Kumwelewesha mtu mzima jambo ni EMOTIONAL DRAINAGE
Walahi
Yaani atajijua kwa kweli
Mtu kuelewa jambo ni inside out siyo outside in!
Ndiyo maana mapambano na mitusi inapo anza!
Na ugomvi ni tabia!
Maisha ya mtu mgomvi hawezi kukaa kwenye ustaarabu hata siku mmoja!
Believe me on that one!
Huu uzi ni bahari hauweki uchafu
UTATEMA TU!
 
Back
Top Bottom