Indeed
Naona vitu vyema tu
Kwenye tabia ya mtu
Vibaya namwachia mwenyewe na muumba wake
Amaiziiiing
Kumwelewesha mtu mzima jambo ni EMOTIONAL DRAINAGEMh! Humwambii lolote kama mwanadamu mwenzio hata akiwa mtu wako wa karibu kwamba ufanyavyo sivyo.
View attachment 552238
Kumwelewesha mtu mzima jambo ni EMOTIONAL DRAINAGE
Walahi
Yaani atajijua kwa kweli
Mtu kuelewa jambo ni inside out siyo outside in!
Ndiyo maana mapambano na mitusi inapo anza!
Na ugomvi ni tabia!
Maisha ya mtu mgomvi hawezi kukaa kwenye ustaarabu hata siku mmoja!
Believe me on that one!
Huu uzi ni bahari hauweki uchafu
UTATEMA TU!