Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - 27. 7. 2017

Ndugu Wana habari tumekuiteni ili kupitia kwenu tuweze kuongea na Wanachi kuhusu tukio kubwa la hivi karibuni. Tukio hilo ambalo limetokea usiku wa tarehe 21. 7. 2017, lina mambo matatu makubwa. 1. Kushambuliwa kwa silaha za moto Waumini 10, wa Kiislamu wakiwa ndani ya Msikiti. 2. Kutekwa au kukamatwa Waumini hao wakiwa Msikitini. 3. Kushambuliwa Msikiti wa Masjid “Alimchumo” kwa silaha za moto. 4. Vyombo vya dola kutotowa taarifa rasmi ya tukio hilo kwa zaidi ya siku tano mpaka sasa.

like
Wapi hii kitu imetokea na lini
 
Back
Top Bottom