Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
HahahahaHuu uzi kiboko, inabidi ukifungua tu, kazi ya kwanza kabisa unaanza kulike kila post bila kusoma. Ukimaliza unapost nukta kwanza kuweka sahihi kwamba umepita baada ya hapo kaa pembeni kusubiria likes
Jaza ujazwe
Kweli kabisa ukikimbilia kuposti ukakakaa watu wanakutenda.....lazima watu waone likes zako kwenye notification.Huu uzi kiboko, inabidi ukifungua tu, kazi ya kwanza kabisa unaanza kulike kila post bila kusoma. Ukimaliza unapost nukta kwanza kuweka sahihi kwamba umepita baada ya hapo kaa pembeni kusubiria likes
Tafwadharii MukuuNimewaingizia milikes yenu huko nyuma
Inaonekana ushawahi kula wewe sasa ni zamu yako ya kuliwa bila mbogaAngalia nyuma nimeshaweka vitu......enjoy
Iwe bhojoNipe nikupe.......tehetehe
TrueUkihisi shida Muombe Mungu atazika mateso
Ethiopia