Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daaahhh.

Net imenikatikia ghafla hapa, nimepigwa shock la hatari baada ya kuona screen ya kimeo changu inasomeka ''This thread may have been deleted by administrators"

Nikaanza kujifikiria nianzishe uzi mwnigine fast, kabla najiandaa ndio nikagundua net ndio tatizo.

Amaa kweli huu uzi Hauwezi kumuacha mtu salama.
 
Pia mimi nilikosa network kwa dakika!
 
Back
Top Bottom