Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6deb58f629b5dc3d0c13b827b5d474ea.jpg
Hahahha mambo ya Lowasa n Magu
Mshindi yupo tayari hizo ni media
Even Trump Clinton saga media zipredict hivyo hivyo
Mshindi yupo tayari
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - 27. 7. 2017

Ndugu Wana habari tumekuiteni ili kupitia kwenu tuweze kuongea na Wanachi kuhusu tukio kubwa la hivi karibuni. Tukio hilo ambalo limetokea usiku wa tarehe 21. 7. 2017, lina mambo matatu makubwa. 1. Kushambuliwa kwa silaha za moto Waumini 10, wa Kiislamu wakiwa ndani ya Msikiti. 2. Kutekwa au kukamatwa Waumini hao wakiwa Msikitini. 3. Kushambuliwa Msikiti wa Masjid “Alimchumo” kwa silaha za moto. 4. Vyombo vya dola kutotowa taarifa rasmi ya tukio hilo kwa zaidi ya siku tano mpaka sasa.

like
Kumng'oa Magufuli na CCM yake madarakani matokeo ya Urais yatangazwe majimboni siyo na NECzi.
 
Back
Top Bottom