Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahahha mambo ya Lowasa n Magu
Nice585 BC: Lydians and Medes Signed Peace Treaty After Solar Eclipse Occurred During Battle
In 585 BC, a solar eclipse occurred in the middle of a battle between the Lydians and the Medes. They promptly ceased fighting and signed a peace treaty.
HahahahaHahahha mambo ya Lowasa n Magu
Mshindi yupo tayari hizo ni media
Even Trump Clinton saga media zipredict hivyo hivyo
Mshindi yupo tayari
Kumng'oa Magufuli na CCM yake madarakani matokeo ya Urais yatangazwe majimboni siyo na NECzi.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - 27. 7. 2017
Ndugu Wana habari tumekuiteni ili kupitia kwenu tuweze kuongea na Wanachi kuhusu tukio kubwa la hivi karibuni. Tukio hilo ambalo limetokea usiku wa tarehe 21. 7. 2017, lina mambo matatu makubwa. 1. Kushambuliwa kwa silaha za moto Waumini 10, wa Kiislamu wakiwa ndani ya Msikiti. 2. Kutekwa au kukamatwa Waumini hao wakiwa Msikitini. 3. Kushambuliwa Msikiti wa Masjid “Alimchumo” kwa silaha za moto. 4. Vyombo vya dola kutotowa taarifa rasmi ya tukio hilo kwa zaidi ya siku tano mpaka sasa.
like
Poa hila tunakwenda mchana sasa. Dk kadhaa badoZa asubuhi