Usipo na msu, adui mbusu.nmeupenda huu uzi
Upendapo, uendapo.Hizi ni buuum kubaaaaa
Ukimtaka baniani umtake na ubinda wake.Akuu kama unataka like njoo kapuku bana huku like zao hazifiki tano..
Ukipenda damu upende na usahaUjinga tuu huu
Ukipenda, penda chako.na mimi nataka...!
Ukishindwa kupasua jiwe, linyanye.Tunakosea matumizi ya like sasa
Ukiumia kwa kisu chako wewe mwenyewe, huwezi kukitupa.Napendaga ma likes camera action!! Nagawa na ma likes!
Undugu wapita urafiki.Ambaye sijampa like akanisemee kwa Paw.
posti na likes pia