Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Tulikua kwenye basi tunaelekea arusha, ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari,* *nikaenda kumziba macho nikamuuliza* otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana
na sasa hivi nimezinduka naona abiria wote tupo wodi namba 3 hapa KCMC Moshi nafkiri stendi imehamishiwa huku sikuizi.


*Akili zangu nazijua mwenyewe!!!*
 
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaahkwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka
 
Sayansi huwa haiongopi bro
Suileman alikuwa na wake 300 na vimada 700 Hahahahaha
Umechanganya mahesabu Mzee wa Masaki. Wake 700 na michepuko 300. Huyu naamini ndiye mwanaume wa shoka sasa. Siyo hawa wa sasa una michepuko minne tena iko mikoa mbalimbali halafu unajiona kidume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya daladalan bhana
Boy: Dada mambo
Girl: mwanaume suruali nikupeleke WAP?
Boy: wanapouza mashati!

Nmecheka had nmepitiliza kituo naona mahali pame andikwa miltar lugalo afu niko ndan ya fensi naskiza atae kuja nielkeza
 
Back
Top Bottom