moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sayansi huwa haiongopi broSayansi huwa haikandamizi mtu bro. Ondoa michepuko weka wazinzi, fornicators or whatever suits your purpose. Point ni kwamba mwanaume kuwa na mwenzi mmoja tu maisha yote haiwezekani - as per Evolutionary Biologists point of view.
Lakini wewe bro ni exception. Ni wewe na Carpa mpaka Mr. Death atakapobisha hodi!
Sayansi huwa haipngopi hahahahahaSayansi huwa haikandamizi mtu bro. Ondoa michepuko weka wazinzi, fornicators or whatever suits your purpose. Point ni kwamba mwanaume kuwa na mwenzi mmoja tu maisha yote haiwezekani - as per Evolutionary Biologists point of view.

Hizo dagaa changanya na nyanya chungu
Haaaaaaaaaaaa dah
Nacheka hapa mpka basi FFUMtu mmoja hawezi kuwa sample bro. Ndiyo maana kuna chain smokers wana miaka 90. Na hii haimaanishi kuwa sigara hazina madhara. Wakati mwingine ni DNA ya mtu. Ndiyo maana kuna watu UKIMWI hauwagusi kwa sababu immune system yao imekaa ki-FFU sana!
HahahahahaToto Tundu (siyo Lissu) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No amesema ukweli na ukweli unakuweka huruNaona umewakandamizia wapenda
Michepuko
Kuna watu na viatu[emoji28][emoji28]nafurahi kama umefurahi....
Ila mambo mengine bhana kuna kipindi kama mwezi mmoja uliopita kulikua na threads nyingi za watu kuaga ila ajabu na kweli siku ya pili unamuona huyooo karudi tena[emoji23][emoji23][emoji23]watu bhana
Good afternoon sweetheartGood afternoon my love
Ijumaa Kareem
No amesema ukweli na ukweli unakuweka huru