Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-28-14-40-37.png
 
Naomba nikusahihishe shemeji. Ni akili za wanaume hizi. Inasemekana eti kila baada ya sekunde 7 kwa namna moja au nyingine tunawaza ngono. Ndiyo maana hata matani mengi yameelekezwa huko.

Watu wa Evolutionary Biology wanasema kwamba instinct hii ya kuwaza ngono 24/7 kwa wanaume ni muhimu kwa binadamu kutokana na udhaifu wake wa kimaumbile (akilinganishwa na wanyama wengine) na lengo lake ni kuhakikisha kuwa anasambaza DNA kwa wingi kwa kadri inavyowezekana ili Homo Sapiens wasipotee kabisa. Hoja hii inatumiwa na wapenda michepuko kuhalalisha uzinzi wao kwa kudai kuwa wanatii natural instinct na kwamba mwanaume kamili kamwe hawezi kuwa monogamous!
Naona umewakandamizia wapenda
Michepuko
 
Umenichekesha ww love
Eti kichwa kichafu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji28][emoji28]nafurahi kama umefurahi....
Ila mambo mengine bhana kuna kipindi kama mwezi mmoja uliopita kulikua na threads nyingi za watu kuaga ila ajabu na kweli siku ya pili unamuona huyooo karudi tena[emoji23][emoji23][emoji23]watu bhana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo tofauti yetu hiyo love Kama binadamu wengine ni Attention seeker.
 
Back
Top Bottom