moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mtu mmoja hawezi kuwa sample bro. Ndiyo maana kuna chain smokers wana miaka 90. Na hii haimaanishi kuwa sigara hazina madhara. Wakati mwingine ni DNA ya mtu. Ndiyo maana kuna watu UKIMWI hauwagusi kwa sababu immune system yao imekaa ki-FFU sana!Huku mtaaani kwetu Kuna jamaa analala mpaka awe na vidonge lakini Ana 50 yrs
Umenichekesha ww loveKama KK??[emoji23][emoji23][emoji23]ujinga mwingine bhana
Basi case closed. Kumbe angalipo!Hata mimi sasa hivi tu nimemuona kwenye thread flani.
Yap! Eti wanasema ni dalili ya kutojiamini!Me myself and I