Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
C024
Me myself and I
Absolutely.Hii hoja naunga mkono sometimes unakuta mtu anapima kiasi gani anakubalika reaction itakuwaje
Naomba nikusahihishe shemeji. Ni akili za wanaume hizi. Inasemekana eti kila baada ya sekunde 7 kwa namna moja au nyingine tunawaza ngono. Ndiyo maana hata matani mengi yameelekezwa huko.Hivi akili za binadamu zinawazaga nini
Ndiyo maana tukaambiwa akili za kuambiwa Always changanya na zako !Kuna Tafiti pia niliona anaelala kwa UsiKu kuanzia 6-7 hours Ana chance ya kuishi miaka mingi
Kama KK??[emoji23][emoji23][emoji23]ujinga mwingine bhanaHii hoja naunga mkono sometimes unakuta mtu anapima kiasi gani anakubalika reaction itakuwaje
Aisee. watu na Ego zao.Wengi sana walishaaga hapa JF tena wengine wakaanzisha na thd kabisa za kuaga ila bado wamo humu humu wala hawakutoka,
Sometimes kuaga na "kutishia" kutoka jf hutumiwa na baadhi ya member kama ni research tu ya kutaka kujua anakubalika kiasi gani humu?
Mwenyekiti wapi alipo ho chi minhMKUU unataka cheooo? kumbuka hakuna marupurupu na kuna member wasumbufu
Kukaa kwenye hii nyumba yataka moyo!
HahahahaAisee. watu na Ego zao.
Na wengine wanaaga halafu wanarudi kwa ID mpya.....
Yummy