Nimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,, sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university kufundisha hesabu
Leo baba mwenye nyumba alikuja nyumban kwangu mazungumzo yakawa hivi…
Baba: habari za leo kijana
Mimi:safi mzee shikamoo
Baba: marhaba, kijana mbona tarehe zishapita naona kimya
Mimi: vipi uzioni siku zako?
Saivi anatoa vyombo vyangu nje naisi ananisaidia kufanya usafi.
Leo nimepulizia Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia
Kumbe wewe ni Mpishi mzuri,
Sipendagiiiiii ujingaaaaaa mimi...
SHULE ALIYOKUWA AKISOMA MDOGO WANGU MATOKEO YAPO HIVI
Div I =0
Div II=0
Div III=0
Div IV=0
Div 0= 96
Matokeo ya mdogo wangu bado sijayacheki
NAOMBEA AWE AMEFAULU TUU.