The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mbona kuzaa bila sex kwa siku hizi ni simple tu? Mimba inapandikizwa kisha unazaa kwa Operation/SurgeryHao watoto aliwapata kwa artificial insemination au mimba zilitungwa kwa nguvu za miungu?