The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mbona kuzaa bila sex kwa siku hizi ni simple tu? Mimba inapandikizwa kisha unazaa kwa Operation/SurgeryHao watoto aliwapata kwa artificial insemination au mimba zilitungwa kwa nguvu za miungu?
Asante kwa ufafanuzi mzuri!Mbona kuzaa bila sex kwa siku hizi ni simple tu? Mimba inapandikizwa kisha unazaa kwa Operation/Surgery
YupMasaki family. Kulikoni?
TrueMbona kuzaa bila sex kwa siku hizi ni simple tu? Mimba inapandikizwa kisha unazaa kwa Operation/Surgery
YupKukaa kimya wakati mwingine ni dawa
Mkuu wewe unatoa likes au unapost tu na kusepa halafu unaanza kulalamika? Kama unatoa basi hali hiyo sometimes inatokea tu hasa wakati wa high traffic post zingine zinarukwa. Usikate tamaa na hapa hatubaguani.
Still virgin halafu watoto labda Maria