Safi sana mkuuNimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,, sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university kufundisha hesabu
Pole zake walahiweekend hiyo![]()
sent from my land lover 109 using Jamii forums app
I love only you in thisHizo ni CONSPIRACY tu my love
Nikama baadhi ya watu wanavyo
Amini Osama ajafa tupa kule hizo habar baby mama I love you
[emoji2] [emoji2] [emoji3] Leo umekuja kivingine, asee!!MUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?
MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.