moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Watu wote iko enda kulala?
Nilikuwa sivipendi balaa!VIPEUO
When iz ze funero?I just died in your arms tonight!
- KANA -
Unaongea na nani?I just died in your arms tonight!
- KANA -
Labda ulipenda eneo la sehemu iliyotiwa kivuliNilikuwa sivipendi balaa!
UwiiiiiiiiUnaongea na nani?
Na wakuzike tu[emoji57] nimekununia.
Mnuno unaendelea.Uwiiiiiiii
Nmekatwa!
Hako ni kawimbo tu sweetheart!
Usinune atoto
- KANA -
Usifanye ivo mamy, si unajua tena msomali wako sina wa kuniweka mjini!Mnuno unaendelea.
Ndio utafute wa kukuweka, mie nahangaika kumbe we ushakufa mikononi mwa mwingine huku!!!Usifanye ivo mamy, si unajua tena msomali wako sina wa kuniweka mjini!
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
- KANA -
Sio kweli, mi nshafia kwako siku nyingiiii. Hadi matanga mlishaanua!Ndio utafute wa kukuweka, mie nahangaika kumbe we ushakufa mikononi mwa mwingine huku!!!
Hivi mbona haulali lakini?Sio kweli, mi nshafia kwako siku nyingiiii. Hadi matanga mlishaanua!
- KANA -
Mbona we hulali?Hivi mbona haulali lakini?
Sikuelezwa umuhimu wake. Nilifikiri ni gemu fulani hivi isiyo na maana!Labda ulipenda eneo la sehemu iliyotiwa kivuli
Mie mlinzi.Mbona we hulali?
Unataka nikuache na nani?
Kumbe nakubana sio?
Haya naondoka!
- KANA -
Mkuu sio rahisi kupata accurate figure coz ni mpaka kwanza ujue brand ya hizo zana,hapa zana moja ya maana inaweza kufika roughly minimum Tshs16 MKwa hesabu za haraka haraka hizi dhana zote ni kama milioni ngapi?
Unamlinda nani?Mie mlinzi.