Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Cause non of them
Can stop the time
Can stop the time
YupHahahha kula likes
Mother nature analia kwa kweliJe, unajua kuwa kutengeneza karatasi mpya kutokana na karatasi za zamani zilizoisha matumizi yake kunaweza kusaidia kupunguza matumizi ya nishati kwa asilimia takriban 70 kulinganisha na kutengeneza karatasi hizo kutokana na miti?
hamu ni rahaa.....1:40
AMUN RA
I'm gr8 my dear
Kwa hiyo kuna siku vitaunganaJe, wajua kuwa visiwa vya Hawaii huvisogelea vile vya Japan kwa umbali wa inchi 4 kila mwaka?
am goodI'm gr8 my dear
Vipi wewe?
Hii mpya kwanguJe, wajua kuwa paka ana uwezo wa kubadili sauti yake na kufanya milio zaidi ya 100 tofauti tofauti wakati mbwa ana uwezo wa kufanya hivyo na kutoa sauti kumi tu?
Revenge time!Mother nature analia kwa kweli
Coolam good
Hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe.hamu ni rahaa.....
NajuaJe, wajua kuwa ubongo wa mwanadamu umeumbwa kwa maji kwa kiwango cha asilimia 80?
Poll: Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau