mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wacha nijaribuJe, wajua kwamba binadamu pamoja na akili zake zote, pamoja na mbwembwe zake nyingi, bado hana uwezo wa kufikisha ulimi kwenye kiwiko cha mkono wake?
NajuaJe, wajua kwamba kila binadamu ana alama tofauti kabisa na za kipekee katika ulimi wake (tongue-prints) kama zilivyo za vidole?
Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
LushotoMchanganyiko wa matunda ( fruits salads) mlo safi wa huko Luahoto
Sent using Jamii Forums mobile app
www.jamiiforums.com/threads/child-adoption-au-kulea-mtoto-wa-ndugu-kipi-ni-bora-na-busara-zaidi.1276819/Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
MhJe, wajua kuwa jicho la mbuni ni kubwa kuliko ubongo wake?
samaki nchangaSAMAKI