Nzuri. Karibu mkuu. Siku yako imeendaje?habarini za muda huu
MUHIMU
✍Epuka sana kumkwaza mtu kwasababu huwezi jua atakauwa nani siku zijazo lakini pia huwezi jua amekuweka katika nafasi gani ndani ya moyo wake..
✍usipende kuongea ubaya wa watu wengine ili kujithibitisha kuwa wewe ni bora kuliko wao. Acha tu watu waseme kile wanaona kwako..
✍Usipende kuzungumza maneno yasiyo ya kweli kwa watu wengine.. Ukisikia neno au ubaya juu ya mtu fulani mfate yeye muhusika
Sent using Jamii Forums mobile app
. Mwacheni mdogo wangu bana. Huwa mnafurahi akianza paraboz?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ilikuwa poaa mkuu ndo tunapumzika muda hapa kwa kutoa likes humu jukwaaniNzuri. Karibu mkuu. Siku yako imeendaje?
Salama kabisa,habari ya wewehabarini za muda huu
. Mwacheni mdogo wangu bana. Huwa mnafurahi akianza paraboz?