Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MUHIMU

✍Epuka sana kumkwaza mtu kwasababu huwezi jua atakauwa nani siku zijazo lakini pia huwezi jua amekuweka katika nafasi gani ndani ya moyo wake..

✍usipende kuongea ubaya wa watu wengine ili kujithibitisha kuwa wewe ni bora kuliko wao. Acha tu watu waseme kile wanaona kwako..

✍Usipende kuzungumza maneno yasiyo ya kweli kwa watu wengine.. Ukisikia neno au ubaya juu ya mtu fulani mfate yeye muhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…