mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nakushukuru sana kwa uzi maana nilikuwa na like mia Mbili sasa mzigo unakimbilia 1400 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli mkuu nimerudi nilikuwa safari so network ikawa mgogoro ila tupo pamoja wandugu wote. Ni mwendo wa kulike na kulaikiwa