Bora usiuzoee maana ni presha kubwa hasa siku timu unayoishabikia ikifungwa huku unashuhudia,siku inavurugikaHongera sana...me mpira umenishinda kwakweli
Ni kweli hali imekuwa mbaya kiasi hicho?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mi nilivyo shindwa kutokukupenda yaan nakupenda kila sekundeHongera sana...me mpira umenishinda kwakweli
Shilawadu nawaonaaNawaona
nawaona......
Poleni sijui niwape hongeraBora usiuzoee maana ni presha kubwa hasa siku timu unayoishabikia ikifungwa huku unashuhudia,siku inavurugika
Mimi siyo mpenzi wa mpira kabisa ndiyo maana nikawa namshangaa...Anaongelea mpira wa miguu
Wacha weee!bahati iliyoje hii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mi nilivyo shindwa kutokukupenda yaan nakupenda kila sekunde
Poleni sijui niwape hongera
Amefananisha shimba na SimbaMimi siyo mpenzi wa mpira kabisa ndiyo maana nikawa namshangaa...
Asante kwa ufafanuzi