Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa unapendaga nini?mana wanaume wengi ni wapenzi wa mpira
Michezo mi hasa hasa ni ngumi/ndondi/masumbwi. Otherwise ni Science/Discovery/History na National Geographic Channels. Mpira ulishanishinda sijui kwa nini na nikiona washabiki wa timu za Ulaya wako so invested mpaka huwa nashangaa!!!
 
Dondi??unataka kuwa bondia??ila kila mtu na mapenzi yake
 
40be4b81de454a0d53c9387f2e272788.jpg
Aiseeeeeee...Memba wa CHAWAPUTA umeadhirika leo ha ha haaaa !!!
 
MBUZI AZAA BINADAMU MKOANI KATAVI

Maajabu ya mwaka yatokea huko mkoani Katavi katika wilaya ya mpanda mbuzi ajifungua Mtoto binadamu na kushangaza wengi.

Wapo wanaoamini kuwa hali hiyo ni ushirikina na wengine kuamini huenda ndio mwisho wa dunia.

Patric sanga mmiliki wa mbuzi huyo amesema yeye haelewi chochote na hana mpango tena na mbuzi huyo.
ec6957156447aa710a2556aa91826e1f.jpg
 
Back
Top Bottom