Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
3. Mazoezi Ya Viungo, Anayekudai Atajifanya Akulie Timing Saa Kumi Na Moja Alfajiri Kumbe Wewe Ushaaplan Utoke Saa Kumi Kumkimbia
Michezo mi hasa hasa ni ngumi/ndondi/masumbwi. Otherwise ni Science/Discovery/History na National Geographic Channels. Mpira ulishanishinda sijui kwa nini na nikiona washabiki wa timu za Ulaya wako so invested mpaka huwa nashangaa!!!Sasa unapendaga nini?mana wanaume wengi ni wapenzi wa mpira
Dondi??unataka kuwa bondia??ila kila mtu na mapenzi yakeMichezo mi hasa hasa ni ngumi/ndondi/masumbwi. Otherwise ni Science/Discovery/History na National Geographic Channels. Mpira ulishanishinda sijui kwa nini na nikiona washabiki wa timu za Ulaya wako so invested mpaka huwa nashangaa!!!
Kidogo sio saanaWewe hakakuumi?
Aiseeeeeee...Memba wa CHAWAPUTA umeadhirika leo ha ha haaaa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisaAiseeeeeee...Memba wa CHAWAPUTA umeadhirika leo ha ha haaaa !!!
MBUZI AZAA BINADAMU MKOANI KATAVI
Maajabu ya mwaka yatokea huko mkoani Katavi katika wilaya ya mpanda mbuzi ajifungua Mtoto binadamu na kushangaza wengi.
Wapo wanaoamini kuwa hali hiyo ni ushirikina na wengine kuamini huenda ndio mwisho wa dunia.
Patric sanga mmiliki wa mbuzi huyo amesema yeye haelewi chochote na hana mpango tena na mbuzi huyo.
Wewe haupendi ndondi?Dondi??unataka kuwa bondia??ila kila mtu na mapenzi yake
Aaah wapi hamna cha sio saana wala nini...kubali waumia sana tuKidogo sio saana