Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo kuwa bondia. Napenda tu kuangalia. Na gym huwa naenda kwa sababu hiyo. Kujua tu jinsi ya kujilinda hata siku ikitokea Nsamaka ameniita kwenda kumtuliza Andjul naenda bila wasiwasi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]shemeji hizo ngumi za kwenye kideo hazitakusaidia kabisa...Mimi ni fimbo na mawe...Mwishoni nikishindwa huwa mbio zinaniokoaga
 
*soma utajifunza kitu*

Boyfriend wako anaweza kuwa hana gari. Anaweza akawa hana pesa nyingi. Anaweza kuwa anaishi kwenye chumba kimoja. Anaweza kuwa anashindwa kukupa zawadi za gharama. Vilevile hana kazi kubwa ya maana.

Ila inatosha kumuona kuwa anakupenda wewe peke yako. Anazo ndoto nyingi zenye tija. Ni muaminifu. Ni mchapakazi na ni mpole na msikivu..anakufanya utabasamu mara kwa mara.

Anaongea na wewe kila siku na anatabia ya kukusikiliza. Anakujibu sms zako kwa wakati. Anakuvumilia pale unapokuwa out of mood. Familia yake inakujua. Kila siku anakusifu kuwa u mzuri..anakuona kila mara anapopata muda.

Anakujali, anakuheshimu, anakubali hata vitu vidogo unavyovifanya na anajivunia wewe kuwa mpenzi wake na anaku-treat kama malikia kwa sababu wewe ndio kila kitu kwake.

Kwanini umuombe vitu ambavyo hana uwezo navyo? Anaweza kuwa hana saa hizi..ila siku moja huko mbeleni atakuwa navyo.

Sasa hivi anaweza akawa anaishi maisha ambayo siyo ya ndoto zake ila siku moja ataishi apendavyo...

Kichwani mwake anajenga picha kutengeneza familia na wewe na anamaanisha kweli anavyosema anakupenda.

Ladies, mpende mwanaume kama huyo ambae anajitahidi kadiri ya uwezo wake awe kama vile wewe unavyopenda...muda ni rafiki mzuri..siku atakuja kuwa poa..atapata pesa, atanunua ardhi na atajenga nyumba kwa ajili yenu wote.

Hatabaki kuwa na hali hiyo miaka yote, alimradi anajitihada atatimiza kila ahadi aliyokupa kwako na uzao wako. Wewe kuwa mvumilivu tu kama kweli unampenda.

"Don't be pushed around by money and
what you wanna eat now.... I pray you don't eat up the future of your unborn children!"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]shemeji hizo ngumi za kwenye kideo hazitakusaidia kabisa...Mimi ni fimbo na mawe...Mwishoni nikishindwa huwa mbio zinaniokoaga
Siyo za kwenye kideo. Naziendea gym kabisa tena na walimu wazuri tu. Sparring sessions kali ukizubaa unakuwa knocked out. Fimbo nilifundishwa na babu wakati wa kuchunga ng'ombe na bado sijasahau. Mbio ntakukamata tu...

Moral of the story: Mtunze vizuri dadangu and never raise your hand on her!
 
ANDJUL haya matani tu sio tena uende dukani kununua pepsi ujipongeze kwa kupendwa, ni mpenz wangu huyu
Kwani bapa zimeisha mpaka nikahangaike na soda za kushushia pilau[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba ni...eeh hivyo hivyo.Akili itakukaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…