[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji buana...akichwale wale ng'ombe kwa sasa wapo Ikwiriri.Ni wewe tu na nafasi yako kuwa fuataAcha kuji-pre empt. Nakuja kuchukua wale ng'ombe!
Acha na mimi nikamtafute shangazi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nsamaka bora nikamtafute zangu mjomba [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Asantee nawe pokea..Pokea like
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dohJamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi kwenda kufungua mlango
Akamkuta jamaa kalewa sana mlangoni kwao
JAMAA: Nini tena mheshimiwa kuamshana saa hizi?
MLEVI: Naomba uje unisukume.
Jamaa akiamini kuwa pengine kuna gari la huyu mlevi limezima jirani akamwambia subiri nikavae viatu. Baada ya kuvaa viatu akatoka na wakaanza kusindikizana na mlevi. Mlevi akaongoza njia
mpaka kwenye mabembea ya jirani akakaa kwenye bembea moja na kumgeukia jamaa na kumwambia.. Okay nisukume basi.
Inategemea[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kuna mwanaume anaejua kukataa??
Itakuwa lini hiiMwache aende huko.Kijana anaumwa mapenzi hadi anasahau kama kuna siku ataachwa... Na ataachwa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba hafai
Inategemea nini?Inategemea
Wewe utashindwa? Iga kwa babe S,utakuwa unachukua hela kwangu halafu unamlipia ben10 wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwee babe S hana maana kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chuo cha nini?unataka kumsomesha??
Utamuua bure kwa presha, achana nae kesi tu za kujitakia[emoji1][emoji1][emoji1]nipe ruhusa nikamfilisi vihela vyote alivyonavyo
Nsamaka wa nini tena ? Mbona sijamtaja wakusoma wako?Poa kabisa...za wewe Baba nsamaka!!!?